Loading 3D model

Msikiti Mkuu - Kilwa Kisiwani

CyArk

CyArk
Oakland, Marekani

Modeli ya 3D ya Msikiti Mkuu wa Kilwa Kisiwani nchini Tanzania. Ulijengwa katika karne ya 10, msikiti mkuu wa Kilwa Kisiwani ni msikiti wa zamani kabisa ambao bado unasimama katika pwani ya Afrika Mashariki. Uliongezwa kwenye karne ya 11 na ya 13, msikiti huu unajumuisha kuba na vyumba vya chini vilivyopambwa.
Msikiti Mkuu ni jengo la mskiti lenye umri mkubwa zaidi Afrika Mashariki.

Show lessRead more
  • Title: Msikiti Mkuu - Kilwa Kisiwani
CyArk

Get the app

Explore museums and play with Art Transfer, Pocket Galleries, Art Selfie, and more

Downloading AR model...
Home
Discover
Play
Nearby
Favorites